JE? UNAFAFAHAMU FAIDA YA MAFUTA YA UBUYU KWA NGOZI YAKO.

Mafuta ya ubuyu yamefanyiwa uchunguzi kwa muda mrefu na watafiti mbalimbali na kugundua kuwa mafuta ya ubuyu yana vitamini nyingi zinzoitajika katika kuirutubisha ngozi.wanawake wengi wa ulaya na afrika wamebadilisha mtindo wa maisha na kuanza kutumia bidhaa asilia kama mafuta ya ubuyu ambayo pia ni dawa ya jenga ngozi iliyoharibika mikorogo na vipodozi vyenye kemikali kali.pian uondoa harara,chunusi na fangasi usoni na mwilini lwa ujumla.Pia mafuta haya yanauwezo mkubwa wa kuikinga ngozi dhidi ya miale ya jua hata alibino wa jinsia yoyote wanashauriwa kutumia mafuta haya kulinda ngozi zao.Siku za hivi karibuni kumekuwepo na muamko mkubwa kwa wanawake wa afrika kutumia mafuta ya ubuyu baada ya kufahamu faida yake.Matumizi ya mafuta haya ni kwa kupakaa mwilini bila kujali muda kutegemea na muhusika au mtumiaji.

BEI: Lita 1-shilingi elfu ishirini na tano tu (25,000/=)

MAWASILIANO

E-MAIL:     masy09@gmail.com

SIMU:         0774 425749

Advertisements
By masy

One comment on “JE? UNAFAFAHAMU FAIDA YA MAFUTA YA UBUYU KWA NGOZI YAKO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s