TUNATENGENEZA NEMBO NA LOGO KWA WAJASILIAMALI KWA BEI POA.

Je? wewe ni mjasiliamali… unapata shida kutengeneza lebo ya biashara yako au lebo ya biashara haina mvuto,sasa huna sababu kuhangaika wasiliana na blog hii na ipo timu mahiri ambayo itawasaidia kutengeneza na kuwashauri mambo mbali mbali muhimu yatayoifanya bidhaa yako ionekane ya thamani.

Lebo(label) na Nembo(logo) ni muhimu katika biashara wafanyabiashara wengi hawazingatii hayo kufanya biashara zao kuoneka haziko kwenye kiwango kinacho takikana.Mfano kumekuwako na wajasiliamali wanaotenge bidhaa za kusindika lakini wamekuwa wakishindwa kutengeneza bidhaa zao kuwa na mvuto wa wateja.Vitu vingi umvutia mnunuzi ikiwa ni pamoja na lebo yenye mvuto na kifungachio kilichotumika.

MAWASILIANO

E-mail:    wajasiliamali.blog@gmail.com

Phone:    0774 425749

Advertisements
By masy

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s